Waziri Mkuu wa Hong Kong atawazwa
Rais Hu Jintao wa Uchina
ameadhimisha miaka 15 tangu Hong Kong kurejeshewa Uchina, kwa kuahidi
kuwa Hong Kong ibaki na uhuru wake wa kadiri fulani.
Kwa wakati wote huo, koloni hiyo ya zamani ya Uingereza, imekuwa ikiendesha shughuli zake wenyewe, chini ya utawala wa Uchina katika sera inayoitwa - taifa moja lenye mifumo miwili ya siasa.
Katika sherehe ya kuapishwa kwa waziri mkuu mpya
wa Hong Kong, C.Y. Leung, Rais Hu alisema, Hong Kong imetoa mchango
mkubwa katika mabadiliko na marekibisho ya kisasa katika Uchina bara.
No comments:
Post a Comment