Makanisa ya Garissa yashambuliwa tena
kundi la Al-Shabaab.
Kenya ilipeleka vikosi vyake nchini Somalia
mwaka jana kuwasaka wapiganaji wa Al-Shabaab ambao wametajwa kutishia
usalama wa nchi.
Matukio ya mashambulio dhidi ya maeneo ya ibada
na yenye mikusanyiko ya watu wengi yamekuwa yakiripotiwa katika siku za
karibuni nchini Kenya, na mwishoni mwa wiki iliyopita watu w
Watu 16 wameripotiwa kuuawa na
wengine kujeruhiwa baada ya watu wenye silaha kuvamia makanisa mawili
katika mji wa Garissa, kaskazini mashariki mwa Kenya hii leo.
Wafanyakazi wa Shirika la Msalaba Mwekundu walifika eneo hilo, na haraka waliwapeleka majeruhi hospitali.
Kwa mujibu wa Mkuu wa Upelelezi nchini Kenya,
Muhoro Ndegwa, watu waliouawa saba ni raia na maafisa wawili wa polisi
waliokuwa wakilinda maeneo ya ibada katika kanisa la Africa Inland
Church, AIC.
Kanisa jengine lililoshambuliwa ni Kanisa
Katoliki ambapo magruneti mawili yalirushwa, ambapo moja liliripuka na
kujeruhi watu kadha.
Hakuna mtu wala kikundi kilichodai kuhusika na
mashambulio hayo, japo katika mashambulio kadhaa ya siku zilizopita
yalihusishwa na wanamgambo wa Kiislam wa Somalia wa k
atatu
waliuwawa katika klabu moja mjini Mombasa, baada ya kushambuliwa kwa
magruneti.
Aliyeshuhudia tukio hilo, aliiambia BBC kwamba barabara sasa hazina watu, isipokuwa tu askari wa usalama.
No comments:
Post a Comment