Sunday, April 21, 2013

Ujumbe wa mkereketwa kuhusu “Diamond” na Wema Sepetu 21/04/2013 17:49 Ujumbe uliotumwa (ambao unasomeka hapo chini) unahusiana na mazungumzo ya simu ambayo unaweza kuyasoma/sikiliza kwa kubofya hapa. WANAWAKE WAUNGANA KUSUSIA BIDHAA NA MAONYESHO YA MWANAMUZIKI DIAMOND Kwa Kumdhalilisha Bi. Wema Sepetu kwa kumrekodi katika simu na kusambaza mazungumzo nyeti! Kitendo cha Mwanamuziki wa kizazi kipya Nasibu Abdul Juma maarufu kama Diamond,cha kurekodi mazungumzo yake na star wa Bongo Move Bi. Wema Sepetu, na kuyatuma mazungumzo yao ya mapenzi katika mitandao ni kitendo cha "Udhalilishaji wa Mwanamke." Kwa kuwa wanamuziki na wasanii wote wanatakiwa wawe ni mfamo na kioo cha jamii katika kielekeza jamii kuishi kwa kufuata na kuheshimu mahadili, lakini mwanamuziki Diamond ameonekana kuwa ni kiongozi wa " Udhalilishaji wa Mwanamke" kufuatia kitendo chake cha kurekodi na kusambaza mazungumzo yao ya simu ya kimapaenzi kati yake na Bi.Wema Sepetu na mpenzi wake wa sasa Bi. Penny, kitendo hiki ni cha " kuwadhalilisha wanawake wa kitanzania." Tunaowaomba akinamama na kinadada na wanawake wote kwa ujumla kususia kununua video, vcd, cd pia kugomea kuhudhuria onyesho lolote lile litakalofanya na mwamuziki. Nasibu Abdul Juma aka Diamond hadi pale atakapo waomba radhi wanawake wote wa kitanzania popote pale walipo. Wanawake wote wanatakiwa kugomea maonyesho ya mwanamuziki huyo na na kutonunua bidhaa za mwanamuziki huyo Diamond ili kukomesha kabisa tabia hizi chafu za " Udhalilishaji wa Mwanamke."

Ujumbe wa mkereketwa kuhusu “Diamond” na Wema Sepetu 21/04/2013  uliotumwa (ambao unasomeka hapo chini) unahusiana na mazungumzo ya simu ambayo unaweza kuyasoma/sikiliza kwa kubofya hapa. WANAWAKE WAUNGANA KUSUSIA BIDHAA NA MAONYESHO YA MWANAMUZIKI DIAMOND Kwa Kumdhalilisha Bi. Wema Sepetu kwa kumrekodi katika simu na kusambaza mazungumzo nyeti! Kitendo cha Mwanamuziki wa kizazi kipya Nasibu Abdul Juma maarufu kama Diamond,cha kurekodi mazungumzo yake na star wa Bongo Move Bi. Wema Sepetu, na kuyatuma mazungumzo yao ya mapenzi katika mitandao ni kitendo cha "Udhalilishaji wa Mwanamke." Kwa kuwa wanamuziki na wasanii wote wanatakiwa wawe ni mfamo na kioo cha jamii katika kielekeza jamii kuishi kwa kufuata na kuheshimu mahadili, lakini mwanamuziki Diamond ameonekana kuwa ni kiongozi wa " Udhalilishaji wa Mwanamke" kufuatia kitendo chake cha kurekodi na kusambaza mazungumzo yao ya simu ya kimapaenzi kati yake na Bi.Wema Sepetu na mpenzi wake wa sasa Bi. Penny, kitendo hiki ni cha " kuwadhalilisha wanawake wa kitanzania." Tunaowaomba akinamama na kinadada na wanawake wote kwa ujumla kususia kununua video, vcd, cd pia kugomea kuhudhuria onyesho lolote lile litakalofanya na mwamuziki. Nasibu Abdul Juma aka Diamond hadi pale atakapo waomba radhi wanawake wote wa kitanzania popote pale walipo. Wanawake wote wanatakiwa kugomea maonyesho ya mwanamuziki huyo na na kutonunua bidhaa za mwanamuziki huyo Diamond ili kukomesha kabisa tabia hizi chafu za " Udhalilishaji wa Mwanamke."

No comments:

Post a Comment

SHARE

TOA MAONI YAKO KUHUSU POST HII

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...