Wednesday, September 26, 2012

JINI KABULA AAPA KUZAA NA BUSHOKEMWIGIZAJI machachari Bongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ amefunguka kuwa licha ya ujauzito wa awali kuharibika, bado ana nia ya kuzaa na mpenzi wake Rutta Maximilian Bushoke aliye mwanamuziki wa Bongo Fleva.
Akipiga stori na Tollywood Newz, juzikati jijini Dar es Salaam,  Jini Kabula alisema bado ana hamu ya kuzaa na mpenzi wake huyo.
“Haikuwa riziki, ilikuwa bahati mbaya, dhumuni langu lilikuwa ni kuzaa na Bushoke kwa sababu nampenda, hivyo Mungu akinijalia tena, nitazaa naye tu. Natamani sana niwe mama wa mtoto wake,” alisema Jini Kabula.

No comments:

Post a Comment

SHARE

TOA MAONI YAKO KUHUSU POST HII

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...