Friday, September 21, 2012

HII INAMUHUSU SERGIO RAMOS NA MASHABIKI WA REAL MADRID.


Klabu za ligi kuu ya England zinahusishwa na kumsajili beki wa kimataifa wa Hispania Sergio Ramos ambaye tetesi zinasema kuwa amechoshwa na maisha ya Real Madrid chini ya kocha Jose Mourinho.
Tetesi hizi zimepata nguvu baada ya beki huyu kuwekwa benchi kwenye mechi ya juzi dhdi ya Manchester City ambapo imemkasirisha na kuamua kulalamika kuwa kuna hali ya upendeleo na unyanyasaji kwa baadhi ya wachezaji wa klabu hiyo.

No comments:

Post a Comment

SHARE

TOA MAONI YAKO KUHUSU POST HII

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...