Friday, September 21, 2012

Casillas didn't celebrate Ronaldo's goal Real Madrid vs Manchester City ...KUMBE HUYU NDIO MCHEZAJI WA REAL MADRID AMBAE HAKUSHANGILIA RONALDO ALIPOFUNGA?
Tayari maneno yameshaanza kwamba kuna uwezekano mkubwa Kipa Casillas wa Real Madrid na mchezaji Cristiano Ronaldo hawapatani, mashabiki wengi waliocomment kila mmoja ametoa sababu zake.. wengine wanasema jamaa wana beef, mwingine kasema Cassilas hakua na furaha kwa sababu ni siku chache zimepita toka shabiki mmoja wa Real Madrid aliekutana nae afariki dunia.
Nitapata uhakika zaidi wa chanzo cha hilo kama nitasikia kutoka kwa Casillas mwenyewe, ila kwa sasa nakupatia time uiangalie hiyo video hapo chini inayomuonyesha Casillas wakati Ronaldo alipofunga.

No comments:

Post a Comment

SHARE

TOA MAONI YAKO KUHUSU POST HII

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...