Sunday, September 9, 2012

England yaifunza Moldova mpira


Mwamba Frank Lampard akifumua shuti kali
England iliipa Moldova kichapo cha mabao 5-0 siku ya Ijumaa katika uwanja wa Chisinau, Moldova.
Timu hiyo ya Moldova,ambayo haina historia ya kufanya vyema katika mashindano ya kimataifa ilihangaishwa kuanzia dakika ya mwisho na England.
Kabla ya kwenda mapumzikoni vijana wa Meneja Roy Hodgson walikuwa kifua mbele kwa magoli 3-0.
Goli la kwanza lilifungwa na Frank Lampard kwa njia ya penalti katika dakika za kwanza kwanza kabla wa mwamba huyo wa Chalsea kufanya mambo kuwa 2-0 alipofunga kwa kichwa .
Baadae mshambulizi Jermain Defoe aliipatia Englanda bao la tatu.
Ilimlazimu James Milner wa Man City kusubiri hadi dakika ya 16 kabla ya kuipatia Englanda la nne kabla ya Leighton Baines kufunga ukurasa wa

No comments:

Post a Comment

SHARE

TOA MAONI YAKO KUHUSU POST HII

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...