BBB

advertisement

tangaza sherehe

ADVERTISEMENT

Tuesday, August 7, 2012

BUNGE LA KENYA LAKARABATIWA

Bunge la Kenya lililokarabatiwa na ambalo limekuwa gumzo kubwa kwa sababu ya gharama ya viti vya bunge hilo, hatimaye limefunguliwa rasmi na rais wa nchi hiyo Mwai Kibaki. Viti hivi vina garantii ya miaka thelathini na vimegharimu dola 3,000 za kimarekani kwa KILA KITI KIMOJA au takriban shilingi 280,000 za Kenya. Wabunge wanhitaji viti vya bei ghali ili kufanya kazi vyema?

No comments:

Post a Comment

SHARE

TOA MAONI YAKO KUHUSU POST HII

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...