
.
Stori mtaani ni kwamba mwimbaji
Star Chris Brown ameachana na girlfriend wake aitwae Karrueche na hiyo
yote ni kwa sababu ya Drake.
Mtandao wa Hellobeautiful
wameamplfy kwamba Kilichotokea ni baada ya Chris Brown kugundua kwamba
Karruche amekua akiwasiliana na Drake japo sio kwamba wako kwenye
mapenzi, wamekua wakiwasiliana kwa ishu za kibiashara.
Chris ameshindwa kuvumilia
baada ya kugundua kwamba mpenzi wake anawasiliana na adui yake (Drake)
ambae zaidi ya siku 30 zilizopita walikua kwenye ugomvi mkubwa uliotokea
kwenye club moja ya usiku New York Marekani.
Kingine alichokifanya Chris Brown ni kufuta picha zote alizokua ameziweka Twitter na Instagram akiwa na Karrueche.
No comments:
Post a Comment