BBB

advertisement

tangaza sherehe

ADVERTISEMENT

Monday, July 23, 2012

HAYA SASA, WALE WALIOTAMANI KUMUONA MTOTO WA BEYONCE TOKA AKUE… NDIO HUYU


Hizi picha zimepigwa na mtu tu ambae alishtukia Beyounce na mwanae wakifanya shopping mbele yake, akazipiga na kutweet… Blue Ivy kakua.
Ni miezi kadhaa toka mara ya mwisho dunia ilipomuona Blue Ivy kwa uwazi kiasi hiki.
Hizi ni picha ambazo zilitolewa bure na Beyonce na Jay Z miezi kadhaa iliyopita zikimuonyesha mtoto wao ambae wengi tulidhani wangeuza kwa mamilioni ya dola picha za mtoto wao kama walivyofanya mastaa wengine ikiwemo J.Lo!

1 comment:

SHARE

TOA MAONI YAKO KUHUSU POST HII

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...