NDIO NIMEZIONA HIZI VIDEO, NI HUYU NABII WA MUNGU ANAEKUNYWA POMBE HADHARANI NA ANATAJA SABABU ZA KUFANYA HIVYO.KAMA HIVI
Huyu Anajiita Nabii Tito ambae amekua akipita mitaa mbalimbali ya Dar es salaam akihubiri injili lakini akiwa na chupa ya pombe anayokunywa mkononi, na hasiti kutoa maelezo ya kwa nini anakunywa pombe. Nimeshawahi kumuona mtaani siku moja Ubungo lakini sikuwahi kupata ushahidi wa hizi video na naamini inawezekana wewe pia hujaziona, zitazame hapo chini…..
Unaweza kuichek na hiyo video ya pili hapo chini…! zimewekwa muda mrefu kidogo Youtube lakini nimeshawishika kuziweka hapa kwa sababu ni watu wachache sana wameziona, huyu Nabii nilishawahi kukutana nae Ubungo zaidi ya miezi miwili iliyopita akiwa ana hubiri kama hivi lakini sikuweza kupata video au picha kwa wakati huo.
No comments:
Post a Comment