MAADHIMISHO YA MIAKA 11 YA TUKIO LA UGAIDI NCHINI MAREKANI 'SEPT 11, 2001'
Kituo cha Kimataifa cha Biashara (WTO) kikiwaka moto baada ya kulipuliwa Septemba 11, 2001.
(Picha zote na AP)
MAMIA ya Wamarekani leo wameungana tena katika maadhimisho ya
kumbukumbu za tukio la ugaidi lililotekea Septemba 11, 2001 katika
majiji ya New York na Washington nchini Marekani.Umati huo ulikusanyika katika maeneo ya Kituo cha Kimataifa cha Biashara (WTO) jijini New York na Makao Makuu ya Kijeshi ya Marekani, Pentagon kusoma majina ya watu zaidi ya 3,000 waliouawawa katika mashambulizi hayo.
No comments:
Post a Comment