Mkurugenzi
Mtendaji wa Kampuni ya Hali halis , inayochapisha Gazeti la Mwana
Halisi Bw, Saed Kubenea, akionyesha baadhi ya Magazeti yaliyolalamikiwa
na Serikali.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya
Hali halisi, inayo chapisha Gazeti la Mwana Halisi Bw, Saed Kubenea,
akiongea na Waandishi wa habari katika Ofisi za Kampuni hiyo juu ya
malalamiko yake kwa serikali kutokana na kufungiwa kwa gazeti lake la
Mwana Halisi jana ambapo alilaani vikali uamuzi huo uliochukuliwa na
serikali na hivyo kuitaka serikali kufuta mara moja Tamko lake Kushoto
ni Mhariri wa Gazeti hilo Bw, Jabir Idrissa.
(Picha na Philemon Solomon)
No comments:
Post a Comment