Beki wa Manchester United Rio Ferdinand ametozwa
faini ya pauni za Uingereza 45,000 sawa na dola za kimarekani $71,000
na chama cha mpira cha England baada ya kupatikana na hatia ya kutumia
lugha mbovu kuhusu beki wa Chelsea Ashley Cole.
Halmashauri huru imempata na hatia kwa
kumkashifu Cole akitumia lugha inayopdhalilisha ukoo na kabila la
mpinzani kwa msemo wa maneno 'Choc ice' kwa maana mtu mweusi nje na
ndani mzungu.
Ferdinand alikanusha kua sivyo hivyo ila ni kwamba maanake ni mtu feki, au mnafiki.
Matamshi yaliyopeperushwa kwa mtandao wa Twitter
yalitokea baada ya Ashley Cole kutoa ushahidi mahakamani dhidi ya mdogo
wake Rio aliyedai kua alitukanwa na John Terry. Terry hakupatikana na
hatia.
dah!
ReplyDeletehabareee ndo hiyooo
ReplyDeletekwhyo jembe le2 limetozwa mamkwanja yakumwaga?
ReplyDeleteNDO MANAKE NA NEXT TIME AJIPANGE
ReplyDeletekwel uzungu uzungun 2.. Huku kibongo bongo wchezaj wamepgwa fine 2 wcha walie n had mwenye kt wakamtimua
ReplyDeleteheh!
ReplyDelete