Mashirika ya kutetea haki za
binadamu, yamesema kuwa ni aibu kubwa na kejeli kwa haki za binadamu kwa
hatua ya shirika la Utamaduni la Umoja wa Mataifa UNESCO, kutoa tuzo
ya sayanasi inayofadhiliwa na Rais wa Equatorial Guinea, Teodoro Obiang
Nguema Mbasogo.
Mashirika hayo yanamtuhumu Rais huyo kwa uporaji
wa mali ya umma na ukiukaji wa haki za binadamu katika nchi ambayo ina
viwango vikubwa vya umaskini.

No comments:
Post a Comment