Kumekuwa na Wimbi la watu ku create account za wasanii na kujifanya wao
..huku wakiomba hela na kutapeli watu ....huo ni moja ya mfano wa mtu
anae jifanya ommy Dimpoz , pia week iliyopita niliona account fake ya
Ali Kiba ikidanganya wakenya kuwa yuko Kenya kutembelea watoto yatima so
anaomba watu wachangie kwa Mpesa na akatoa na number ya safaricom ya
kenya...lakini kufatilia haikuwa Ali kiba wa kweli am sure jinsi wakenya
wanavyompenda Ali Kiba kuna walio tuma hela zao bila kujua huyo ni just
a Con Man.
No comments:
Post a Comment