BBB

advertisement

tangaza sherehe

ADVERTISEMENT

Friday, July 13, 2012

RIYAMA AFUNGUKIA NDOA


STAA wa filamu Bongo, Riyama Ally (pichani) ameweka wazi kuwa anaitamani ndoa hivyo anampa mpenzi wake muda mchache wa kukamilisha suala hilo.
Akizungumza na paparazi wetu hivi karibuni kuhusiana na maisha yake ya mapenzi, Riyama alifunguka kuwa yeye ni mtoto wa Kiislam hivyo hapendi kuendelea kuishi katika mazingira ya kujiibaiba.
“Dini haitaki mtu anayejiibaiba ndiyo maana unaona najitahidi kulinda heshima yangu, kamwe hutaniona sehemu ya wazi na mpenzi wangu sababu bado hajanioa.
“Nampa kama miaka miwili hivi kama ni muoaji kweli atafanya hivyo kwani tumeshadumu kwenye uhusiano kwa muda mrefu,” alisema Riyama huku akigoma kutaja jina la mpenzi wake.

No comments:

Post a Comment

SHARE

TOA MAONI YAKO KUHUSU POST HII

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...