BBB

advertisement

tangaza sherehe

ADVERTISEMENT

Wednesday, July 11, 2012

KUNA STAA ANAMWAGA HELA KWENYE TWITTER...PLEASE FOLLOW HIM AND GET SOME CASH



Huyu jamaa amezaliwa akiitwa Michael Collins Ajere
Mwaka huu ametajwa kama Mmoja wa Celebrity mwenye Nguvu Africa akishika namba 36(The 36th Most Powerful Celebrity in Africa)
Amezaliwa November 26 mwaka 1982 na yuko kwenye Industry ya muziki.
Wengi wanamfahamu kwa jina la Don Jazzy
Ni producer maarufu sana nchini Nigeria na Duniani kote akiwa ameshiriki kumuweka mwanamuziki D'BANJ hapo unapomuona leo hadi kuchukuliwa na Kanye West.Actually D'BANJ  na DON JAZZY ni childhood friends,wamecheza na kukua pamoja hadi kufika kufanya kazi na kupata mafanikio waliyonayo leo!

Don Jazzy ndo ametengeneza Album 2 ziliyomtambulisha D'BANJ, Tongolo mwaka 2004 na No long Thing mwaka 2005 akiwa na lebo ya Mo Hits Records na swahiba wake D'BANJ.
Mwezi May, 2012 baada ya D'BANJ kujitoa Mo Hits records na kwenda kufanya kazi na Kanye west, Don Jazzy alianzisha Record Label inayoitwa MAVIN RECORDS.



Don Jazzy ameshatengeneza kazi za watu wengi tu maarufu akiwemo NAETO C ambaye ana nyimbo kama TEN OVER TEN na 5&6, TIWA SAVAGE mwenye hit songs kama KELE KELE na LOVE ME LOVE ME,lakini kali kuliko ni kutengeneza wimbo wa JAY Z na KANYE WEST kwenye Album yao ya WATCH THE THRONE uitwao LIFT OFF Ft Beyonce.


Huyu sio Producer wa kawaida na naona hela zimeanza kumpelekesha,jamaa anamwaga hela kwenye Twitter


Follow him kwenye TWITTER @DONJAZZY,kama una shida ya hela atakwambia umtumie akaunti yako na anakutumia mkwanja on the spot.Its not a joke,cheki hapa chini baadhi ya watu aliokuwa akiwasiliana nao na wakimshukuru baada ya kupokea mkwanja from him.Hes definitely very generous.Wabongo kazi kwenu!


 CHEKI TWEET ZAKE ZA KUGAWA HELA WIKI HII NA WATU WAKISHUKURU BAADA YA KUPOKEA



 DON JAZZY MWENYEWE
Moja ya Kolabo za ukweli alizotengeneza ni hii hapa chini ambayo aliwaweka pamoja D'BANJ na mkongwe SNOOP DOGGY DOGG kwenye Wimbo unaoitwa MR ENDOWED

No comments:

Post a Comment

SHARE

TOA MAONI YAKO KUHUSU POST HII

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...