INTER BANKING BONANZA YAFANA MOSHI.
Ikiwa ni siku moja tu baada ya kuanza mwaka mpya wa fedha nchini Tanzania,
benki zote za mjini Moshi zilifanya bonanza ambalo lilikua la kusisimua sana,
chini ya wadhamini wao Bonittle bottlers Limited na Tanzania Breweries Limited
tarehe 1 mwezi wa saba, siku ya jumapili
Baadhi ya michezo iliyobamba ilikua ni pamoja na mpira wa miguu, mbio za
riadha, kukimbia ndani ya magunia kwa wanaume na wanawake, kukimbiza kuku,
mchezo wa kuvuta kamba,na kupasua Maputo
Bonanza hilo lilishirikisha benki zote zinazo 'operate' mji msafi kuliko
miji yote nchini Tanzania, benki hizo ni CRDB, BARCLAYS, NBC, UCHUMI, AKIBA
CORMERCIAL BANK, KILIMANJARO COOPERATIVE BANK, BOA, STANDARD CHARTERED, na
STANBIC BANK
No comments:
Post a Comment