
.

.

.

.

.

.

.

.

Millard
Ayo na Mama mzazi wa Marehemu Kanumba ndani ya banda sabasaba ambapo
alisema T shirts, key holders ni miongoni mwa vitu vilivyouzika sana,
wanampango wa kufanya hivyo kwenye maonyesho mengine kama ya nane nane
mikoani.

Hivi ni viatu pia alivyokua anavivaa Marehemu Kanumba, haviuzwi ni kwa ajili ya watu kutazama tu.

Moja kati ya pea za viatu za Marehemu Kanumba.

.

Hii ni moja ya nguo zilizokua zinauzwa na ilitolewa maalum kuzikanusha taarifa zilizosambaa kwamba Kanumba alikua Freemason.

.

.

.

.

.

Haya Madaftari yalikua yanauzwa pia.

.

Moja ya madaftari yanayouzwa yakiwa na nembo ya Kanumba.

.

.

Moja ya suti zilizotumik na Kanumba, haiuzwi.

Kofia nazo zilikuepo kwa ajili ya kuonyeshwa tu, haziuzwi.
No comments:
Post a Comment