BBB

advertisement

tangaza sherehe

ADVERTISEMENT

Thursday, June 28, 2012

SIKU CHACHE BAADA YA KUACHA GONGO AMANDA ANASWA AKIJIRUSHA

Tamrina Mohamed Poshi ‘Amanda’.
MWANADADA kutoka kiwanda cha filamu Bongo, Tamrina Mohamed Poshi ‘Amanda’ juzikati alinaswa akijiachia ukumbini ikiwa ni siku chache tu baada ya kuacha kutembelea gongo alipopata ajali ya kuvunjika mguu.
Amanda alinaswa na paparazi wetu ndani ya Ukumbi wa Meeda, Sinza Mori jijini Dar ambako Bendi ya Extra Bongo ilikuwa ikitumbuiza ambapo yeye alicheza muziki kwa kukata mauno ya nguvu kuliko mnenguaji wa bendi hiyo, Otilia Boniface.
“Leo nimeamua kuja kula raha Extra Bongo nilizimisi kwa muda mrefu, si unajua nilikuwa nashindwa kutoka, nimepona sasa,” alisema Amanda.

No comments:

Post a Comment

SHARE

TOA MAONI YAKO KUHUSU POST HII

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...