PICHA MBALIMBALI KATIKA TUKIO LA KIONGOZI WA MADAKTARI KUOKOTWA MABWE PANDE AKIWA HOI
Katibu wa Chama cha Madaktari, Edwin Chitage, akiongelea tukio hilo.
Kiongozi wa madakitari nchini, Dk. Stephen Ulimboka, leo ameokotwa
maeneo ya Mabwe Pande, Dar es Salaam, akiwa hoi baada ya kupigwa na watu
wasiofahamika.
Kitendo hicho kilisababisha kusimama kabisa kwa huduma katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya madaktari, wauguzi na wahudumu wengine kukasirishwa na kitendo hicho.
Madaktari wameishtumu serikali na jeshi la polisi kwa kile walichokiita kushiriki katika jaribio la kumwua kiongozi wao.

No comments:
Post a Comment