Tuesday, April 16, 2013

Jokate na Penny wazungumzia tetesi za uhusiano kati ya Diamond na Irene Uwoya


Katika muda ambao kila mmoja alikuwa
amejaribu kuamini kuwa Diamond Platnumz
ameamua kutulia na mpenzi mmoja,
mtangazaji wa DTV, Penniel Mungilwa, hivi
karibuni staa huyo ameanzisha uhusiano
wa kimapenzi na muigizaji wa filamu Irene
Uwoya.....
Magazeti ya udaku nchini yaliandika habari
hiyo ikiwa na picha inazowaoenesha mastaa
hao wakichukua chumba kwenye hoteli
ambako walienda kufanya yao.
Kufuatia tetesi hizo, mwandishi wetu
amezungumza na mpenzi wa sasa wa
Diamond, Penny ambaye amesema kwa
ufupi kuwa wameshayazungumza na
Diamond na wako vizuri kwa sasa lakini
akasisitiza kuwa asingependa kuliongelea
zaidi suala hilo.
Katia hatua nyingine, Jokate Mwegelo
aliyewahi kuwa na uhusiano na Diamond
amekanusha taarifa iliyoandikwa na gazeti
moja la udaku kuwa amemcheka Irene kwa
kunaswa kwenye himaya ya Diamond.
“ Mimi hivyo vitu havinihusu na wanapenda
kupata quotes zangu pasipo hitajika. I
don’t know why? I don’t why wanatafuta
story. That’s their life kiukweli with
whatever they choose to do, more power to
them "Jokate

No comments:

Post a Comment

SHARE

TOA MAONI YAKO KUHUSU POST HII

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...