Tuesday, April 16, 2013

AJALI ILIYOONDOA UHAI WA ILIYOONDOA UHAI WA RCO MAGNUS MNG'ONGO RCO MAGNUS MNG'ONGO

Mamia ya wakazi wa mji wa Geita Mamia ya wakazi wa mji wa Geita wakiaga mwili wa wakiaga mwili wa marehemu marehemu Mng'ongo Mng'ongo muda mfupi muda mfupi kabla ya kusafirishwa. kabla ya kusafirishwa.

Gari alilokuwa akiendesha marehemu Gari alilokuwa akiendesha marehemu SSP Mng'ongo. SSP Mng'ongo.

Gari aina ya fusso lililogongana na gari Gari aina ya fusso lililogongana na gari la marehemu Mng'ongo. la marehemu Mng'ongo.

Na Victor Bariety, Geita Na Victor Bariety, Geita JESHI la polisi mkoa wa Geita limepata JESHI la polisi mkoa wa Geita limepata pigo baada ya aliyekuwa mkuu wa pigo baada ya aliyekuwa mkuu wa upelelezi wa makosa ya jinai mkoani upelelezi wa makosa ya jinai mkoani hapa, Magnus Mng'ongo kufariki dunia hapa, Magnus Mng'ongo kufariki dunia katika ajali ya gari. katika ajali ya gari. SSP Mng'ongo alifariki dunia juzi SSP Mng'ongo alifariki dunia juzi majira ya saa mbili usiku katika kijiji majira ya saa mbili usiku katika kijiji cha Chibingo kata ya Nyamigota cha Chibingo kata ya Nyamigota wilayani Geita baada ya gari lake wilayani Geita baada ya gari lake alilokuwa akiliendesha kugongana uso alilokuwa akiliendesha kugongana uso kwa uso na gari jingine aina ya Fusso. kwa uso na gari jingine aina ya Fusso. Kwa mjibu wa kaimu kamanda wa Kwa mjibu wa kaimu kamanda wa polisi mkoa wa Geita, kamishina polisi mkoa wa Geita, kamishina msaidizi wa polisi, Japhet Lushingu, msaidizi wa polisi, Japhet Lushingu, SSP Mng'ongo alikuwa akitokea katika SSP Mng'ongo alikuwa akitokea katika kijiji cha Buseresere wilayani Chato kijiji cha Buseresere wilayani Chato mkoani humo akiendesha gari lake mkoani humo akiendesha gari lake dogo lenye namba za usajili T429 BMN dogo lenye namba za usajili T429 BMN aina ya Corolla na aligongana uso kwa aina ya Corolla na aligongana uso kwa uso na gari lenye namba za usajili uso na gari lenye namba za usajili T467 ANG aina ya Mitsubishi Fusso T467 ANG aina ya Mitsubishi Fusso lililokuwa likitokea Mwanza lililokuwa likitokea Mwanza likiendeshwa na Said Kharifan mkazi likiendeshwa na Said Kharifan mkazi wa Mwanza.

No comments:

Post a Comment

SHARE

TOA MAONI YAKO KUHUSU POST HII

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...