Thursday, April 11, 2013

JAY Z AFUNGUKA...

Wamemuudhi Jay-Z: Afunguka kwenye ngoma mpya Open Letter, azungumzia issue ya Cuba by Editor on 11/04/2013 18:20

Usicheze na Hov. Rapper huyo amerekodi wimbo jana usiku mahsusi kabisa kuwajibu wale waliokosoa safari yake na mkewe Beyonce nchini Cuba.

Maafisa mbalimbali walimkosoa Jay kwa kwenda kusherehekea miaka mitano ya ndoa yake na Beyonce kwenye nchi hiyo ya kikomunisti.

“I’m in Cuba, I love Cubans” anarap Jay. “Obama said, ‘chill you gon’ get me impeached. You don’t need this s**t anyway. Chill with me on the beach.’”

Webpage not available

Jay-Z pia amezungumzia taarifa kuwa ana mpango wa kuuza share zake za timu ya kikapu ya Nets.

“Would’ve brought the Nets to Brooklyn for free,” anarap. “Except I made millions off you f***ing dweeb. I still own the building. I’m still keeping my seats. Y’all buy that bulls*** y’all better keep y’all receipts.”

Open Letter imetengenezwa na Timbaland na Swizz Beatz.

No comments:

Post a Comment

SHARE

TOA MAONI YAKO KUHUSU POST HII

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...