Wednesday, April 17, 2013

BOMU ZILIFICHWA KWENYE SUFULIA BOSTON

Mabomu yaliyolenga Mbio za Marathon huko Boston Marekani huenda yalifichwa ndani ya sufuria za kupikia. Hii ni kwa mujibu wa majasusi.Baadhi ya picha zilizochapishwa kwenye taarifa ya shirika la ujasusi-FBI zinaonyesha vipande vipande vya chuma.

Shambulio hilo la Jumatatu wiki hii liliwaua watu saba na kuwajeruhi wengine zaidi ya 170. Miongoni mwa walipoteza maisha ni pamoja na mvulana wa miaka minane na mwammke wa miaka 29, pamoja na mwanafunzi raia wa China.

Mwandishi wa BBC mjini Boston anasema mkesha wa maombi kwa waathirka ulifanyika hapo Jumanne, huku wenyeji wakitafakari sababu za kutaka kulenga mbio hizo ambazo huwa kivutio cha wengi.

Huku haya yakiarifiwa Rais Barack Obama anatarajiwa kuzuru Boston hapo Alhamisi kwa maombi maalum ya kuomboleza vifo hivyo.Obama pia atawahutubia waathiriwa na jamaa zao.

Madaktari wanaowahudumia majeruhi wamesema bomu hilo lilikua na vyuma, na vipande vya makombora. Majeruhi kadhaa wamekatwa miguu na mikon

No comments:

Post a Comment

SHARE

TOA MAONI YAKO KUHUSU POST HII

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...