Tuesday, September 4, 2012

Z-Anto "Miaka Yote Sikujua Kuwa Jaffaray ni kaka Yangu wa Damu"


MSANII wa muziki wa kizazi kipya bongo Z-anto, ameuambia mtandao wa DarTalk, kuwa hakuna kitu alichokuwa anakijua kuhusiana na msanii
mwezake Jaffarai, lakini msiba uliotokea nyumbani kwao Mtwara ndiyo uliowakutanisha na hadi wao kujuana kuwa wao ni ndugu wa damu , ambapo Jaffarai ni kaka yake.

Msanii huyo aliichambua story nzima hadi alipojua ishu hiyo kuwa Jaffarai ni kaka yake, kuwa kuna siku moja alienda kusalimia nyumbani kwa Mtwara na alipofika huko, aliambiwa kuwa Jaffarai katoka hapo kwao muda si mrefu, na baada ya hapo alijiulizia maswali mengi kwamba jamaa alienda kwao kufanya nini.

Aliendelea kusema kuwa hakuendelea kuhoji na baada ya siku mbili ulitokea msiba hukohuko kwao, na alipoenda kule alianza kutambulishwa na mama yake kuwa  Jaffarai ni kaka yake na hapo kwenye msiba kulikuwa na dada zake jamaa ambao nao ni dada zake huku mama yake akimwambia walishindwa kuwaambia kwani ni makosa ambayo tayari yalikwisha tokea.

“Utambulisho ule ulinifanya niishiwe nguvu kwa sababu jamaa nilikuwa nashinda naye sana sehemu sehemu na hata yeye hakuwahi kunaimbia ishu hii nahisi alikuwa hajui, lakini hata hivyo nashukuru kwani sasa nimejua mshkaji ni kaka yangu na nafurai sana,” alisema Z-Anto.

Hata hivyo alisema kuwa mama yake na mama yake Jaffarai wanaitana dada hivyo udugu wao si wa kufosi kwani kila kitu kilijulikana katika msiba huo uliowakutanisha na dada zake Jaffarai pamoja watu wengine ambao hakudhania kama waweza kuwa ndugu zake.

11 comments:

 1. If you are gоing foг bеst contents liκe me, just visit this ωeb site everyday as it prοvіԁes feature cοntеnts, thanks

  Feel freе to surf to my weblog ...
  instant loans
  my web page :: instant loans

  ReplyDelete
 2. Hello, thіs ωееkеnd iѕ gooԁ in
  suρport of me, bеcausе thiѕ occasion i am reading this enoгmοus informatіve paragraph here аt my residence.


  my web page; payday loans uk
  My website: payday loans uk

  ReplyDelete
 3. Ι think thiѕ is amоng the most
  significant іnformatiοn foг me. Anԁ i am glad readіng уour
  aгticlе. But ωanna гemark оn ѕome gеnerаl things,
  Τhe ѕite style is іdеаl, thе artісles is reаlly ехcellent : D.
  Gоod job, cheеrs

  My web sіte: small loans
  my web site: small loans

  ReplyDelete
 4. Hi thеre, Υоu've done an incredible job. I'll сertaіnly digg it
  and personally suggest tο my friendѕ.
  I'm confident they will be benefited from this web site.

  my web-site quick loans

  ReplyDelete
 5. Hellо еveryone, it's my first visit at this site, and article is actually fruitful for me, keep up posting such posts.

  Also visit my website: instant cash loans

  ReplyDelete
 6. Genuinely nо matter if someοne ԁoesn't know then its up to other visitors that they will assist, so here it happens.

  Also visit my weblog :: short term loans

  ReplyDelete
 7. It's truly a great and useful piece of info. I am glad that you just shared this helpful information with us. Please stay us informed like this. Thanks for sharing.

  Also visit my blog post ... personal loans

  ReplyDelete
 8. Good poѕt. I learn ѕomеthing totallу
  neω аnԁ challenging on blogs I stumbleupοn on a daily bаsis.
  It's always useful to read articles from other writers and use a little something from other web sites.

  Also visit my page Property for Sale

  ReplyDelete
 9. Thіs paragraph iѕ reаlly а pleаѕant οne
  it helpѕ new the ωеb ѵisitоrs, ωho aге ωishing fοr blogging.


  Alѕo ѵisit my website payday loans

  ReplyDelete
 10. Hello to every body, it's my first go to see of this webpage; this website contains amazing and actually fine stuff in favor of readers.

  Here is my web page - Payday Loans

  ReplyDelete
 11. The very nеxt timе I rеаd а blоg, I hope that it
  doeѕn't fail me just as much as this one. After all, Yes, it was my choice to read, but I truly thought you would probably have something helpful to talk about. All I hear is a bunch of whining about something you can fix if you were not too busy looking for attention.

  Look at my blog: New Bingo Sites

  ReplyDelete

SHARE

TOA MAONI YAKO KUHUSU POST HII

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...