Friday, September 7, 2012

UPAJA WA LINAH WAZUA KIZAAZAA MTANDAONI


PICHA ya hivi karibuni aliyopiga msanii wa muziki wa kizazi kipya, Esterlina Sanga ‘Linah’ imezua kizaazaa mtandaoni huku wengi wakijadili kuhusu ‘upaja’ wake.
Katika maoni ya watu walioiona picha hiyo wapo walioshadadia kuwa, huenda binti huyo  hivi karibuni ametumia Mchina kuongeza makalio yake.
“Huyu mtoto kanenepa sana, hebu angali hilo paja ila inaonekana katumia Mchina huyu, mbona siku siku za hivi karibuni kanenepeana sana? Au ndiyo mambo safi?” alihoji mmoja wa mashabiki wa msanii huyo.
Hata hivyo, wengi waliishia kulijadili paja lake ambapo asilimia kubwa walionekana kuwa ni wanaume wakware ambao walionesha kumtamani kufuatia binti huyo kuiacha wazi sehemu yake hiyo muhimu ya mwili ambayo imekuwa ikiwadatisha wengi.

No comments:

Post a Comment

SHARE

TOA MAONI YAKO KUHUSU POST HII

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...