Monday, September 24, 2012

Wema Sepetu na Aunti Ezekiel Wajifunza-Hii Ndio Picha Waliopiga Fiesta Mbeya-Unaona?

Baada ya Picha zao mbaya wakiwa kwenye majukwaa ya fiesta kusambaa mtandaoni naona wameamua kuvaa vizuri nakupendeza sasa...picha hiii imepigwa jana kwenye tamasha la fiesta Mbeya..Wamependezaa eehh? Au?

No comments:

Post a Comment

SHARE

TOA MAONI YAKO KUHUSU POST HII

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...