Thursday, September 13, 2012

WEMA SEPETU ALIZWA VIOO VYAKE VYA GARI NA VIBAKA...!!!


BEAUTIFUL Onyinye wa Bongo, Wema Isaac Sepetu, hivi karibuni alijikuta akipata wakati mgumu baada ya kukombwa vioo vya gari lake aina ya Toyota Mark X  na vibaka wa Moshi, Kilimanjaro.
Tukio hilo limetokea hivi karibuni ndani ya Viwanja vya Chuo cha Ushirika  ambapo staa huyo alikuwa amehudhuria uzinduzi wa Tamasha la Serengeti Fiesta 2012

No comments:

Post a Comment

SHARE

TOA MAONI YAKO KUHUSU POST HII

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...