Friday, September 14, 2012

SABABU ZA SHINJI KAGAWA KUTOICHEZEA JAPAN KWENYE MECHI NA IRAQ.


.
Mchezaji wa timu ya taifa ya Japan Shinji Kagawa amesema kupata jeraha ndo kulikomfanya akose mechi ya kufuzu kombe la dunia ambapo hata hivyo timu yake ilishinda 1-0 dhidi ya Iraq.
Kagawa (23) akiwa ni mchezaji pia wa club ya Man U baada ya kununuliwa kwa dola milioni 21 za kimarekani, alijiondoa kwenye kikosi cha timu ya taifa saa moja kabla ya hiyo mechi na Iraq kuanza kutokana na maumivu ya mgongo baada ya mazoezi.

No comments:

Post a Comment

SHARE

TOA MAONI YAKO KUHUSU POST HII

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...