Tuesday, September 18, 2012

PICHA ZA MWANAMITINDO MTANZANIA AKIWA AMEVAA NGUO HALISI ZA MICHAEL JACKSON.Hii ilikua ni kwenye show ya Philiph Treacy hivi karibuni ambapo Mwanamitindo mtanzania Flaviana Matata na wenzake walivaa nguo halisi zilizokua zikivaliwa na marehemu Michael Jackson, kwa ufupi ni kwamba hizi nguo zimetoka kabatini mwa MJ.

Kwenye hii show mwimbaji staa Lady Gaga alikuepo pia.

No comments:

Post a Comment

SHARE

TOA MAONI YAKO KUHUSU POST HII

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...