Saturday, September 29, 2012

HII NDIO COVER YA XXL MAGAZINE YA WIZ KHALIFA NA AMBER ROSE MJAMZITO.


.
Rapper Wiz Khalifa na his girlfriend Amber Rose wamefanya interview na XXL Magazine na kuzisema sentensi kibao kuhusu mapenzi yao na matarajio ya mtoto wao wa kwanza toka wameingia mapenzini.
Amber bado ameendelea kusema yale anayosema mara nyingi, jinsi Wiz Khalifa alivyo mwanaume wa tofauti na asiechuja kwenye mapenzi mazito, ambapo Wiz pia amezidi kumsifia Amber ambapo amefanya uamuzi wa kuirekodi album yake mpya akiwa nyumbani ili apate time zaidi ya kuwa karibu na mtoto wao.

No comments:

Post a Comment

SHARE

TOA MAONI YAKO KUHUSU POST HII

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...