Tuesday, September 11, 2012

HATIMAYE MTITU AIACHA ‘KLABU YA MABACHELA’


Mtitu na mke wake wakingia  ukumbini huku wakicheza.
…Wakiwa mbele ya wageni waalikwa.
Wasanii wa filamu, Sabrina Rupia ‘Cathy’ (kushoto) na Mayasa Mrisho ‘Maya’ (kulia) walikuwepo.
Msanii wa filamu, Jacqueline Wolper  (kulia) akiwa na msanii mwenziye, Shamsa Ford, walipamba hafla hiyo.
Mkali wa kughani mashairi, Mrisho Mpoto, akiwa na mkewe.
Wasanii wa filamu wakifungua shampeni.
Mtitu na mkewe wakikata keki.
MSANII wa filamu Bongo, William Mtitu, amefunga  ndoa na mwanadada anayejulikana kwa jina la Yovita Swai, Jumamosi iliyopita katika Kanisa la Mtakatifu Joseph, jijini Dar es Salaam na sherehe ikafanyika  ukumbi wa Urafiki, Ubungo.

No comments:

Post a Comment

SHARE

TOA MAONI YAKO KUHUSU POST HII

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...