Friday, September 14, 2012

Ciara - Sorry

CIARA AMERUDI, HII NDIO VIDEO YAKE MPYA.

Nafahamu ni watu wengi mashabiki wake ambao kwa ukimya wake Ciara walitamani kusikia au kushuhudia ujio wake mpya kwenye muziki, mpenzi huyu wa zamani wa Bow wow amekaa kimya muda mrefu lakini sasa ndio amerudi kwenye line, video ya single yake mpya ya ‘Sorry’ imedondoshwa Youtube September 13 2012 na mimi nimeidondosha millardayo.com september 14. ichek hapo chini

No comments:

Post a Comment

SHARE

TOA MAONI YAKO KUHUSU POST HII

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...