Thursday, September 13, 2012

Askari Polisi amefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kumuua mwanahabari Da...

VIDEO YA JINSI ASKARI ALIYEUA MWANDISHI IRINGA ALIPOFIKISHWA MAHAKAMANI.


ITV wameripoti kwamba Askari wa kikosi cha kutuliza ghasia FFU mjini iringa Pasificus Cleophace Simon mwenye umri wa miaka 23, amefikishwa katika mahakama ya wilaya ya Iringa kwa tuhuma za kumuua kwa kukusudia aliyekuwa mwandishi wa habari wa kituo cha Channel ten mkoani Iringa Daudi Mwangosi.

No comments:

Post a Comment

SHARE

TOA MAONI YAKO KUHUSU POST HII

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...