Friday, September 21, 2012

African swagger - Alpha Featuring Rah PNAFAHAMU WENGI MMEMMIS RAHA P, HII NI VIDEO MPYA YA KOLABO YA ALPHA WA RWANDA NA RAH P

Hili ni jibu la kiu ya wengi waliokua wanajiuliza kila siku mkali wa bongo Rah P yukwapi, hata mimi nilitamani kumuona kwenye kazi mpya pia… hiyo hapo chini ni video mpya ya single aliyoshirikishwa na Alpha wa Rwanda ambae ni mshindi mara mbili wa Tusker Project Fame pia... ichek alafu usiondoke bila kuacha comment mtu wangu wa nguvu.

No comments:

Post a Comment

SHARE

TOA MAONI YAKO KUHUSU POST HII

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...