Saturday, August 11, 2012

Keko "Am Not Mad “Here I am tweeting, do mad people tweet?”


Siku ya jumanne rumours zilienea kupitia njia za mitandao ya kijamii kuwa rapper wa kike kutoka nchini Uganda Keko amekuwa chizi (mad), hii ilitokea siku moja baada ya rapper huyo wa kike kuwa signed na label ya Sony Music ya South Africa.

“Here I am tweeting, do mad people tweet?” Keko responded through a tweet.

Mmoja wa mashabiki wake aliuliza;“When are people gonna stop hating?” ndipo Keko alijibu “When I die.”

Akizungumza na BK Manager wake alisema “the celebrated rapper was well and sound, terming the gossip as immature“.
Hivyo mashabiki wa Keko waondoe hofu na kuwa rapper huyo ni mzima wa afya
.

No comments:

Post a Comment

SHARE

TOA MAONI YAKO KUHUSU POST HII

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...