Saturday, August 4, 2012

ISIKILIZE HAPA SINGLE YA KWANZA YA DOGO JANJA KUITOA BAADA YA KUONDOKA TIPTOP, SIKIA ALICHOZUNGUMZA.


Dogo Janja.
Hii ndio new single ya Dogo Janja, ni single yake ya kwanza kuirekodi toka ameondoka kwenye kundi la TipTop Connection June 13 2012, single imerekodiwa kwa Marco Chali MJ Records ambapo PNC amepewa shavu kwenye chorus, ni single inayozungumzia maisha ya ukweli ya Dogo Janja ambae kwa sasa amejiunga na kundi la WATANASHATI alipo PNC pia, isikilize hiyo single hapo chini alafu utoe maoni yako.. 
 

No comments:

Post a Comment

SHARE

TOA MAONI YAKO KUHUSU POST HII

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...