GODBLESS LEMA ATUA UINGEREZA KUONGEZA CHOPA
Mheshimiwa
Godbless Lema wa Chadema akikagua Helicopter ikiwa ni moja ya vitendea
kazi vya kampeni za 'M4C'. Mheshimiwa Lema, pamoja na kufanya maandalizi
hayo ya vitendea kazi, kesho Jumanne Agosti 7 anatarajiwa kufungua tawi
la Chadema jijini London saa mbili usiku, Thatched House Barking kwa
ushirikiano mkubwa na kamanda Chris Lukos.
No comments:
Post a Comment