BBB

advertisement

tangaza sherehe

ADVERTISEMENT

Monday, July 23, 2012

HUYU NDIO MTOTO WA USHER RAYMOND ALIEFARIKI DUNIA.



Jetski.



Usher Raymond, Tameka na watoto wao kabla ya ndoa yao kuvunjika.




Marehemu Kyle akiwa na mtoto wa Ginuwine, Kyle ni mtoto wa Tameka aliyempata na mwanaume mwingine kabla ya kuoana na Usher. 
Kyle Glover ambae ni mtoto wa mke wa zamani wa Mwimbaji Usher Raymond, amefariki dunia leo kutokana na kuumia kwenye ajali ya pikipiki za kwenye maji maarufu kama Jetski mwanzoni mwa mwezi huu huko Georgia Marekani.Madaktari wametoa mashine zilizokua zinasaidia kumuweka hai mtoto huyo aliekua na umri wa miaka 11 baada ya kugundua kwamba majeraha aliyoyapata yasingeweza kutibika.
Usher’s stepson,  Kyle akiwa na rafiki yake wa kike mwenye umri wa miaka 15 walipata ajali july 8 2012 huko Georgia baada ya Inner tube waliyokuwemo iliyokua ikivutwa na boti kugongwa na Jetski wakiwa kwenye maji na hivyo kupata majeraha ya kichwa.

Inner tube ikivutwa na boti. (R.I.P Kyle )

No comments:

Post a Comment

SHARE

TOA MAONI YAKO KUHUSU POST HII

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...