BBB

advertisement

tangaza sherehe

ADVERTISEMENT

Monday, July 23, 2012

HII NDIO NYUMBA ALIYOISHI RAIS OBAMA MIAKA YA 80, INAPANGISHWA.


.
.
.
.
.
Mtandao wa Global Grind umezitoa hizi picha na kuamplfy kwamba ni za nyumba aliyowahi kupanga rais Barack Obama wa Marekani kwenye miaka ya 80 wakati akisoma Columbia University enzi hizo akiwa na wenzake na walikua wakilipa kodi ya USD 360 kwa mwezi ambayo sio chini ya laki tano za kitanzania, Nyumba hii yenye vyumba viwili vya kulala ipo Manhattan New York ambapo sasa inapangishwa kwa USD 2400 ambayo sio chini ya milioni tatu na laki tano za kitanzania.

No comments:

Post a Comment

SHARE

TOA MAONI YAKO KUHUSU POST HII

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...