BBB

advertisement

tangaza sherehe

ADVERTISEMENT

Tuesday, June 26, 2012


Sam akiwa na band yake mpya ya Sky Light.


Sam Machozi.

HUYU NDIO MWIMBAJI ALIEONDOKA MACHOZI BAND.


Mpaka sasa naona 2012 ikifika December unaweza kuwa mwaka ambao umefanyika usajili wa wanamuziki kwenye bendi mbalimbali za bongo, tunajua Mashujaa band wamehusika sana na stori zao, Extra bongo, Twanga Pepeta zimehusishwa pia.
Stori ya usajili niliyonayo leo inazihusu Machozi band na Sky light band ambayo ni band mpya inayoongozwa na Aneth Kushaba, mwakilishi wa Tanzania kwenye Project Fame mwaka juzi, pia ni mwimbaji aliefanya kazi na B band, Machozi band Mjomba band na nyingine.
This time Skylight band ndio wamefanya usajili, wamemchukua Sam machozi kutoka Machozi Band ya Lady Jay Dee.
Sam amesema “sijahama Machozi Band kwa ubaya na nawapongeza Machozi kwa kutoa mwanamuziki wa kwanza wa bongo fleva au Afro Pop band kununuliwa kwenda band nyingine kwa shilingi milioni sita, nimehamia kwenye kampuni mpya, mazingira mapya na dunia mpya ya muziki wa Live band”
“Namshukuru komando Jide kwa kunilea kwa miaka saba na nimemuaga vizuri tu pale ndio nyumbani kwangu muda wowote wakati wowote nitarudi najua nitapokelewa, huku nimekuja kutafuta maisha na nimesain mkataba wa mwaka mmoja na mshahara wangu  ni shilingi laki tatu na nusu kwa

No comments:

Post a Comment

SHARE

TOA MAONI YAKO KUHUSU POST HII

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...