BBB

advertisement

tangaza sherehe

ADVERTISEMENT

Thursday, June 28, 2012

RUKIA SWALEH ( a.k.a Rukia mummy)NAE AJIUNGA BLOG YA KIJANJA!!!  SOMEWHERE BLOG!!
Huyu ndo Rukia Swaleh kama hutaki basi!
anapatikana facebook sana sana ktk page ya blog hii inayoitwa unlimited swaggazz, Rukia yeye ni charming,mpole na hapendi kuongea sana! ila ukimchokoza ndo utajua ye anasomeka vipi dat why hata profile yake ktk facebook ameweka privancy mtu asiyekuwa friend wake hawezi kusoma informations zake wala kufungua picha zake coz hapendi kuchokozwa!.......Rukia mummy management ya SOMEWHERE BLOG inakukaribisha sana ktk blog hii ya kijanja!! warm wellcomeee!!!!! 

1 comment:

SHARE

TOA MAONI YAKO KUHUSU POST HII

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...