MWANAMUZIKI ALI KIBA AFUNGUKA KUHUSU KASHFA YA KULAWITIWA
WAKATI stori za kulawitiwa kwa staa wa Bongo Fleva, Ali Kiba zikitokota
chini kwa chini, mwenyewe ameibuka na kukanusha kuwa si za kweli.
Akizungumza
na mtandao mmoja Bongo, Ali Kiba amekanusha madai hayo na kufafanua
kuwa, uvumi huo ulichagizwa na rafiki yake mmoja wa karibu ambaye
walikuwa wakiishi naye.
“Si kweli bwana, hizo stori si za kweli,
jamaa tulimtimua home baada ya kugundua ana tabia ya udokozi ndipo
akaamua kupakaza stori kama hizo,” alisema Ali Kiba.
No comments:
Post a Comment