MWANADADA
anayefanya vizuri kunako gemu la filamu Bongo, Jacqueline Pentezel
‘Jack wa Chuz’ amejikuta katika wakati mgumu baada ya kupigwa picha za
utupu na kusambazwa kila kona ya jiji. Picha hizo zinamuonesha Jack
akiwa kama alivyozawaliwa katika mapozi tofauti, jambo ambalo linaonesha
kuwa alipigwa picha hizo na mpenzi wake.
Kikizungumza na Risasi
Mchanganyiko, chanzo makini ambacho ni rafiki wa karibu na msanii huyo,
kilisema Jack amekuwa akilalamika kuhusu kupotelewa na kadi iliyokuwa na
picha zake za siri hivyo inawezekana aliyechukua ndiyo amezisambaza
picha zisizofaa kuonekana hadharani. “Kwa pozi hili aliloweka Jack
inawezekana alipigwa na mpenzi wake kwa lengo la kujifurahisha kama
wapenzi, mapozi aliyokaa yanathibitisha hilo kabisaa,” kilisema chanzo
hicho. Baada ya kuzitia picha hizo kibindoni, gazeti hili lilimtafuta Jack ambapo alikuwa na haya ya kusema:
“Jamani
hizo picha sielewi zimevujaje maana kuna kadi yangu ya simu ilipotea
ikiwa nazo, nilipigwa na mpenzi wangu kwa nia njema tu, si unajua mambo
ya mapenzi tena… sasa kama zimeshafika kwenu sijui niseme nini tena
hapo.”
No comments:
Post a Comment