
Tukio hilo lilishuhudiwa na mwandishi wa safu hii, wikiendi iliyopita katika Viwanja vya Leaders Club, Kinondoni Dar es Salaam, ambapo Bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta International’ walikuwa wakipiga shoo.
Sababu kubwa iliyosababisha Aunty Lulu apate kadhia hiyo ni kivazi chake kifupi ambacho wakati akishuka jukwani kilipanda juu na kuacha sehemu nyeti zikiwa hadharani.
“Huyu vipi, mbona anatega watu kwenye starehe? Anatakiwa apite na hivyo vinguo vyake Kariakoo ndiyo atajua dungadunga ni akina nani!” alisikika akisema shabiki mmoja kabla ya kuendelea kuzomea.
No comments:
Post a Comment