LETS TALK ABOUT LOVE!!
SABABU 7 KWANINI HUTAKIWI KUFANYA MAPENZI KABLA YA NDOA JAPO NAJUA UNA MIHAMU GUNIA ZIMA NA UNAHISI HUWEZI KUACHA UTAMU HUO
Najua hii topic ni msala mtupu! Hilo
nalitambua lakini inabidi tu hata hili lisemwe,usiponielewa leo
utanielewa tu siku za usoni lakini usiseme sikukwambia
Mimi na wewe wote ni wahanga wa
Pre-mature Sex...Kwa wale mliooa(nna uhakika wengi wenu kama sio wote)
Mligonga kitu kabla ya muda,au sio?
Sasa mzigo ndo huu hapa...Kuna
sababu 7 kwanini tunashauriwa tusifanye Mapenzi kabla ya ndoa....Vitabu
vya Dini vimeandika hili na Kukataza lakini amri inavunjwa kama kawa
utadhani Kitabu cha Kutoka 20:14 kimefutika kwenye Biblia....Kile
kilichokatazwa ndo kinapendwaaaaa,kitamuuuuu,na watu hawataki kukubali
kwamba inabidi kiachwe!
Ubishi huu kuhusu kula tunda ndio
uliotucost Binadamu kufika hapa tulipo leo...Kosa lileeee la Adamu
kupewa Tunda na Eva,baada ya Ibilisi kumdanganya Eva kwamba Tunda lina
Mzuka ile mbaya na hata Mungu anajua ndo maana kawabania...uongo ulikuwa
mtamu Eva akajaa kimiani..Matokeo yake ndo haya...Adam kafukuzwa
Edeni,tumerithi Dhambi na kero chungu nzima...kifo hakikuwa kwenye Plan
ya Mungu ila ni adhabu ya uleee uongo wa mwanzo,lakini HATUKOMI wazeee
tuko bize kufanya REMIX ya mambo yaleyale aliyofanya ADAM na EVA kule
EDENI halafu tunatetea eti haiwezekani,Mungu anajua alichoumba
usimfundishe kazi!
SABABU YA 1:IMEKATAZWA NA MUNGU
Sababu ya Kwanza kwanini hatutakiwi
kufanya Mapenzi kabla ya ndoa ni kwa sababu MUNGU
HAPENDI....Amekataa...Na amekataa sio kwamba hajui Sex ni
Tamu,....Anajua utamu woteee unaousikia ukifanya mapenzi...anajua raha
unayopata ukiwa unacheza kile kiduku pale bed kwa mbwembwe...Anajua zile
hisia unazofeel na nini kinatokea ukifanya,ANAJUA...yeye ndo ameziumba
zile hisia,USIMFUNDISHE MUNGU KAZI YA KUUMBA!
Alikuumba akijua una Hormone ambazo zitakusumbua lakini vilevile
amekupa uwezo wa kuzishinda...Mungu hawezi kuweka jaribu ambalo halina
Mlango,kama alisema usifanye basi anajua uwezo wa kutofanya upo!
Tutabisha weeee,ooh haiwezekani,kuna
watu hawafanyi na wapo,wanapumua kama wewe,wanamtii Mungu na
wanaishi..hawafi,na wanakuja wanaoa na mambo wanakula kama kawa...Zile
stori usipofanya sijui ufutio unapotea,mara hivi,ni Plan za shetani tu
kama alivyomdanganya Eva akajaa kimiani,anakujaza na wewe uamini ili
upotee.USIKUBALI
SABABU YA 2:UTAMU WA HONEYMOON KWISHNEY
Utakapooa, utaenda Honeymoon...Nia ya
honeymoon ni wewe kupewa fursa ya kutoa gundi kwa mara ya
kwanza...Kumbe gundi umeacha Machimachi Guest House miaka mia8 nyuma
UNAENDAHONEYMOON KUFANYA NINI??KUMDANGANYA NANI??
Hizo hela za Kamati ya Maandalizi
watu wanakuandalia kwenda Honeymoon wakati Ramani nzima ya huyo mkeo na
mmeo USED unaijua hata ukifumba macho.KATAA HIYO!
SABABU YA 3: UTAKUWA NA AFYA KIROHO
Tunaishi kwa ajili ya Mungu...tuko
hai kwa sababu Mungu ametuacha na kutupa nafasi ya kurekebisha
maisha...Ukifa leo utakwenda wapi?Umewahi kujiuliza??
Hauko hai kwa sababu wewe ni mwema
sana mbele za Mungu...As long as uko hai inabidi uishi vile ambavyo
Mungu anataka uishi...MAISHA SAFI MBELE ZAKE!
Na ni ukweli usiopingika kwamba
dhambi hii ya NGONO/UTAMU/UZINZI ndio namba 1 katika kuharibu maisha ya
kiroho ya Watu...Hii dhambi ndo Weapon namba 1 ambayo Ibilisi anaitumia
kumaliza watu.Laiti hii isingekuwa dhambi basi watu wengi sana
wangeingia Mbinguni,Wengi sana...Lakini hali ni mbaya sana...
Naweza kuthubutu kusema Afya yako ya
Kiroho inategemeana na ushiriki wako kwenye Ngono au La.ukishinda
hii,siamini kuna dhambi itakuwa ngumu kwako kushinda,Jaribu uone!
Unaikosa Mbingu hivihivi kisa pale
katikati....WAZA UPYA!Tangu uanze kuifanya hiyo kiu imeisha???Mbona
unafanya na unafanya na kufanya haiishi,uskiacha utakufa??Its not late
to start over,na uzuri wa Mungu ukitubu,anafuta zoteeee za nyuma unakuwa
mpya.You can start afresh LEO!
SABABU YA 4:NI NZURI KWA AFYA YA KIMWILI
Hapa napo imekuwa mgogoro.mwanzoni
watu walisema aaaah ntakaaje na Sweetie wangu bila
kufanya,wakahalalisha...wamefanya weeeee wamechokana...wakaanza kuiba
nje,na wapenzi wengine,na kwa sababu umekuwa sugu huoni tabu kuongeza
listi...Ishu inakuja Je, hiyo listi yako iko salama???
Watu wengi wamepata pancha hapo
katikati,wamefikia muda wanataka kutulia na kufunga ndoa kuanzisha
familia...LOH!AFYA MGOGORO!Siku hizi magonjwa ni mengi sana,acha tu
Ngoma inayozingua kila kona,kuna magonjwa ya Zinaa ambayo unaweza
ukaletewa na bila kuyatibu vizuri ukaharibu vizazi ile mbaya.....Kuna
ishu za mimba,maana mechi siku hizi pekupeku tu...ETI MNAAMINIANA,peku
pekua mara kitu kimejaa...wote ndo mnagundua hamko tayari kwa
mtoto!Upuuzi mwingine huo...Mko tayari kukata kiuno ila result za kiuno
hutaki...Utafanyaje mtihani halafu useme hutaki majibu??utajuaje
umefaulu au kufeli??Mapenzi bwana!Mwanamke wa watu analazimika kutoa
mimba maskini,mwisho wa siku mkibahatika kuoana hampati mtoto,HALFU
UTASEMA WHY ME LORD???KWELI???Au mtoto wa kike anaolewa na mtu
mwingine,tayari ushamsababishia kimeo kwenye ndoa yake,na haya yako kila
kona wala sio mapya.WAZA UPYA!
SABABU YA 5:LINDA HISIA ZAKO
Unampenda mtu unafanya nae
Mapenzi...mnaachana,unapanga misururu watu wengi kama msururu wa wateja
wa NMB kwenye ATM...Wote hawa unatumia moyo huohuo,hisia hiyohiyo,wote
umewaonja,wamekupa different tastes,kama mia7 hivi....wote
wamekutenda,Hisia zako zinakuwa na rangi kibaooooo,hata hukumbuki moja
kati ya hizo ipi sahihi....
Nakutana na watu wanasema hawawezi
kupenda tena,kia wametendwa....Sio hivyo...Sehemu ya hisia ishatiwa
shoti,kila mtu kaja na bisibisi yake anachomeka tu,size 17 twendeeee
size 44 twendeeee,haueleweki hisia zako zimefikia size ngapi,maana kuna
waliozi-under size,na wengine wameku-oversize...Umeshakuwa emotionally
unhealthy....
Kwanini usitulie uje utumie hisia
zako kiusahihi na mtu sahihi???kwanza hawa unaosex nao wengi hata wazo
la kuao hamna,wanakutumia tu bureee bureeee,ukimwambia tu twende home
nikutambulishe anajitetea na maneno lukuki kama konda wa
Mazese-Mburahati,ndo utajua utatumiwa tu kama condom,kisha kitanda chako
jalalani!
SABABU YA 6: UVUMILIVU NI TESTI NZURI YA UPENDO WA KWELI
Hapa hata sina haja ya maelezo
mengi...Mtu mvumilivu huonyesha nia ya dhati na upendo wa kweli..Ila mtu
anayekurupuka tu huyooo ndani ya Shuka,utajua tu penzi lake ni la
ki-shuka shuka zaidi.
SABABU YA 7: BARAKA ZA MUNGU MLIYEMTII NA UTULIVU WA NDOA
Ukimtii Mungu huwa anatoa baraka zake...Na kinyume chake ni dhahiri...
Wle wanaomuamini Mungu na kufanikiwa
kufikia hapa,maisha yao yanakuwaga tofauti kabisa na wale walioishi
maisha ya kibiriti-Ngoma Style.
Watu mmetoka tangu urafiki mnaibatua
amri ya 6 bila huruma....Sasa mnafika kwenye ndoa mmechokana,Ladha yote
imakwisha,,Mke hana jipya la kukupa...Hakuna machejo ya Mme
usiyoyajua....NO EXCITEMENT.
Sishangai kuona Mwanaume ameoa anacheat...Hamna jipya,Mke anabakia tu kuwa Kiwanda cha kufyatua Watoto lakini INTIMACY YA NDOA HAKUNA. Anaamua kujaribu ladha zingine!
Na effect za Mwanaume asiye na
Intimacy na mkewe zitaonekana hata kwa Mkewe in due time...Hatampa haki
yake kadri inavyopaswa,na mwishowe mkewe atachoka kulishwa
Makombo,anayoyajua kwa Nusu Karne huko nyuma...
Kifuatacho hapo ni wote kugeuka
CHEATERS...Mke anapiga show za nje kwa wizi...Mme nae anakamua mechi za
Mchangani nje kwa kujiiba...Wote hawa wanajaribu kupasha misuli nje
maana ndani Gym imeishiwa vifaa...Wanajifanya wanapasha moto Kiporo
kilichochacha...Kamwe hiyo ndoa itakuwa ngumu sana kusimama tests of
Time!
ARGUMENTS
Wengi wata-argue kwamba Maadili
yanachangia.NAKUBALI,Siku hizi ni ngumu sana kumuamini Mpenzi kwamba
atavumilia,ndio maana Wanawake wameamua kujitoa Sadaka kutoa tunda kama
njia ya kuwin penzi la wanaume...UONGO!Penzi la Mwanaume halishikwi kwa
kumpa Tunda...Kama anakupenda WEWE atakaa,kama alipenda TUNDA
atakwenda...Simple Rule....Mwanaume anapaswa akupende WEWE kwanza na Sio
ulichonacho Wewe...Afterall kama ana ana nia na hicho kitu,si
atakimilikisha kuwa chake Milele na milele??sasa anakiwahi cha
nini??kuku wa Kwako ya nini Manati??
Na wanaume pia,wanalalamika wanawake
hawaaminiki,wana roho ndogo...Wewe unamtunza hupigi show unadhani kwamba
anakutunzia unashangaa anakuja bwege flani anakula mali yako
kiulaini,Roho inauma,so bora upige show ili hata ukiporwa,ah fresh
mlinganyo umekaa poa.
Maadili yanachangia lakini na Ibilisi
kwa kulitambua hilo,ameinvest hapohapo kwenye LOST FAITH ya Maadili,na
anawachapa watu bila huruma.
Mimi nimemaliza hapa..Ukiamua
kunisikiliza na kuamini Mungu na akubariki,ila nikiwa kama Jogoo anawahi
kuamka lakini hafungui mlango haya..
NATUMAINI MJUMBE SITAUAWA!
aisee umegomga kwenye mfupa, mada imenigusa sana hii, big up kwa kutufunua macho
ReplyDeleteYou shοuld be a ρart of a conteѕt foг onе of the
ReplyDeletegгeаtest ѕiteѕ on the internet. I am gоing tο highly reсommend this wеb sіte!
Here іѕ my homеpage :: losing weight
Somebοԁу essentially hеlp to makе
ReplyDeletesеriouslу ρosts Ӏ wοuld state.
Τhіs is thе first timе I frequеnted your wеbsite ρage and thus far?
Ι amаzed ωіth the anаlysiѕ you made to create thiѕ partiсulaг publiѕh аmazіng.
Magnificеnt job!
Also νiѕit my blog: payday
hey there and thanκ you for youг infοгmation ?
ReplyDeleteI haνe certainly рiсkeԁ up something nеw
frοm proper hеrе. I did however experience a few tеchnicаl pointѕ using thiѕ websitе,
since I ехperienced tο reloаd the webѕite a lot of
occasіοnѕ preѵious to I mаy ϳuѕt get it to load coгreсtlу.
ӏ had been thinκing about іn cаse
your wеb hosting is ΟK? No longeг that I am
comρlainіng, however slοw loading
circumstances ocсaѕions will vеry frequently havе an effect on
your placement in google anԁ can damage уouг hіgh-quаlіty гanking if аdvertisіng and maгketing with Αdwords.
Anуwaу I am including thіs RSЅ to my e-mail and cаn glаnce out for а
lot more of yοur гespective fascinating
content. Ensure thаt you update this once morе very soon.
.
Tаke а look at my ωeb site - payday loans
Heya i аm foг the first time hеre. I came acrоss thіs board anԁ I find It really useful & іt helpеd mе out
ReplyDeletea lot. Ι hοpе tо gіve ѕomеthing back and aiԁ others like
yοu aіԁed mе.
Heгe is my webpagе; Same Day Payday Loans
Hi, I do think thіs iѕ a great
ReplyDeletesite. I stumbledupon it ;) I maу сome baсk yet agaіn since i
have booκmarked it. Mоneу anԁ
freedom iѕ the best way to change, may you be rіch and cоntinuе to help
others.
mу рage; loans for bad credit
ӏ really like it when fοlkѕ get tοgether аnd shагe oρinions.
ReplyDeleteGreat websitе, ѕtіck with іt!
Loοk at my web ρage :: payday loans