
Drake wa kwanza kutoka kulia.
Chanzo cha ugomvi inadaiwa
Chris Brown baada ya kugundua yuko club moja ya usiku na hasimu wake
Drake aliamua kumuagiza muhudumu kumpelekea Drake pombe kama njia ya
kumaliza uhasama wao lakini Drake hakuipokea vizuri na badala yake
aliamka alipokuepo na kumfata Chris Brown na kumpiga.
