AJ UBAO (USA) NA LINAH (TZ) KUZINDUA VIDEO YAO MPYA JUMAPILI HII NDANI YA" MAISHA CLUB"-DAR NA "LUX LOUNGE-WASHINGTON DC...!!!
MWANAMUZIKI " LINAH" AISHIE TANZANIA NA "AJ UBAO" AISHIE
MAREKANI WATAZINDUA VIDEO YA WIMBO WAO MPYA WALIYO ITENGENEZEA
WASHINGTON DC...JUMAPILI HII USIKU WA TAREHE 24/6 NDANI YA "MAISHA CLUB" DAR-ES-SALAAM NA " LUX LOUNGE" WASHINGTON DC,KUANZIA SAA 3 USIKU,NA PIA ITAKUWA ONLINE/YOU TUBE KUANZIA JUMATATU TAR 25/6 ASUBUHI.VIDEO HIYO INAITWA "ALL I NEED" IMETENGENEZWA NA KAMPUNI YA "DMK GLOBAL PROMOTIONS" YA MAREKANI CHINI YA DIRECTOR DICKSON MKAMA a.k.a "DMK"
No comments:
Post a Comment